Monday, November 1, 2010

THEA KITCHEN PARTY

inaonesha ilikucha saana...Hongera saana THEA ni mmoja kati ya waigizaji wa kike wanaonikuna katika tasnia hii ya filamu za nyumbani....kila la kheri
nimeguswa na swagga la gloves la mainda

jiugonjwaa lilikuwa la nguvuu
kabinti kadogooo nako kalikuwepoooo
D.I.D.A nae alikuwepooo



MECKYSHA DIVA's RAMSA!!

 Ramsa watoto wa kizanzibar wanaitambua kama Get Together... ambayo washkaji wa Mecky Bongo Star Movie anayewakilisha na kati ya UKerewe.. wakiwemo Kajala. Diana Bilayla, Salama waliamua kumkaribisha mshakaji wao kwa style hii

                                                Hii ilikuwa no moja ya burudaniii


                               
kitu chaaa mtarimbo Doroooo kilipigwa mikato ya kibao kataaa.....ni balaaa











                                              tukapata na kitu cha misosiiii then tukasepaaaa