Tuesday, March 1, 2011

NAOMBA MTUAMBIE RANGI YA KITCHEN

mambo niaje ?mimi nimekuwa nikifuatilizia sana 8020 karibu kila siku kujua mambo mbalimbali zeze uko juu ma dear friend na rafiki yangu mmoja sita penda kumtaja jina ana kichen party yake mwezi wa nne tunaomba mtushauri rangi gani nzuri zitakazo tupendeza mie kama msimamizi wake yani matron yy bi shost wangu ni mwembamba na maji ya kunde na send off sijuw rangi gani nzur ambazo hazipo common sana na hata mkiweza kutuambia mtu atakaye tudesignia kitu cha ukweli na bling bling nyingine km viatu na mambo yote yanayohusu kitchen party na sendoff

LORNA KITCHEN PARTY!!!

BRIDE::LORNA
MATRON::ARIEL
THEME::AFRO INDIAN
VENUE::INSTANA
COLOR::MAROON
MC::MISHI B

                                                     




UGONJWAAAA HUOOOOO






                                       BARKA MUHIMUUU KWA CHAMPEN
                                            

                                      BI HARUSIII LAZIMA AFICHULIWEEE NA MWENYEKITI  AUNT HUBA
UBUNIFU  BIBI UBUNIFUUU.....HII NI PROJECTA AMBAYO ILIKUWA MAHSUSI KWA KUONESHA ZAWADIII ZA BI HARUSIII......KISASA MAMBO YA KUBEBESHANA MIZAWADI KUIJAZA UKUMBINI...KUMALIZA SEHEMU YA WAALIKWA KUCHEZA...HAKUNA VINAPIGWA PICHAA TU NA WAKATI YA KUTOLEWA ZAWADI MNAHAMISHIA MACHO KWA SCREEN .....UPO SHOST?!!

MAPAMBO.....NILIPENDA  IYO CROWN ILIYOPAMBWA HAPO KATII  ......NI SWAGGA TU!!

 thank you mama i'll never forget u for theeee ...malizia always kamziki haka ndo kanadundwaga kwenye hii sekta ya zawadi kwa mama kutoka kwa mwanaaa
back to afrika ndo mpango mzima...Lorna tuonane upendezee ;)
PASPOT SIZE!!




MADINI YALITAWALA......ilikuwa dress code ama? ;)


MADINIIIII
                                        

                                                      






                                                      CHEZEYAAA ROZELLA