FASHION AND LIFE STYLE
Looking kinds of fashion and lifestyle
Sunday, November 7, 2010
ETI!!!!
Habari
za leo Shamimu??
Naomba kama unaweza kunisaidia hili jambo. Nasikia huwa kuna akina mama ambao wanaweza kumhudumia mtu akijifungua halafu unawalipa.
Kama
una contact zao naomba
Natanguliza shukrani.
Imma
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment