VENUE: LONDON DAR BAR
COLOUR: PINK & LILAC
FOOD: INDIAN

MAPAMBO KILA KONA YALIKUWA YANAASHIRIA AJAYE NI MTOTO WA KIKE!!
KILA ALIYEFIKA ALIONDOKA NA HII KITU...inapendezaaaa
KAMA KAWAIDA MIE NILIGUSWAA HAPAAA ...JIUGONJWA LA UKWELIIII
![]() | |
WAALIKWA WALIPEWA MUDA WAKUSIGN PICHA YA MAMA MTARAJIWA ...jestina una mbwembwe ;)
![]() |
Michezo kama kawaaa |
RAHA JIPE MWENYEEWEEEEE
![]() |
GIFT ZOTE ZILIKUWEPO HATA FWEZA!! |
naambiwa Menu ilikuwa ya kihindi
Mama Raniyya aliwakilishaa saana tu
kitu cha lace.....NAONA fashionista kapiga na kitu cha BRA black....Nimekumbukia lile angalizo
PICTURE:: THANKS MISS JESTINA BLOG
No comments:
Post a Comment