![]() |
| SHOST AMEPUNGUA KIDOGO AU GAUNI TU?!! |
![]() |
| HII SI NDIO ILE COLOR YETU OF THE YEAR AMA? |
![]() |
| green inogileee....BOLD COLORS |
![]() |
| red nayo haimpotezi mtu.....nimegundua bega moja la sasa hv shurti litiwe swaga kama si roses hata details |
![]() |
| MH halle berry nini tena jamaniii |
![]() |
| GREEN WAS THE COLOR OF THE DAY NIMEONA WENGI WAMETINGA HII RANGI.....inogile |
![]() |
| KIPENZI CHANGU CHENGINE NI JLO....huwaga simbishiagi huyuuu |
![]() |
| BEGA MOKOOOO |
![]() |
| hebu cheki hii ni swaggga au shost aliona inashuka akaipitishia kwa cheni |
![]() |
| bibi mburuzoooo ulikuwa ndo swagga la sikuuuuu...kina sie tumekrem wanavaa maharusi...haya wenzenu hao si harusi iyoooo ohoooo!!....nasemea tu sio mje tuvalia RUN WAY au Bilicanaz ;) |
![]() |
| MABEGA WAZI NAZO ZILIBAMBA!! |






























No comments:
Post a Comment